TAREHE: 12 Novemba 2025
MAHALI: Taveta, Kaunti ya Taita Taveta
Wakazi wa Taita Taveta na wadau wa haki za kijamii wameelezea wasiwasi mkubwa kuhusu hatua ya Mbunge wao, Mheshimiwa John Okano Bwire, kuendelea kuwatetea mahakamani maafisa wa serikali wanaokabiliwa na tuhuma nzito za ufisadi, huku akiwa ni kiongozi wa kisiasa anayepaswa kusimamia na kutetea maslahi ya wananchi.
Kwa mujibu wa taarifa mbalimbali na rekodi za mahakama, Bw. Bwire amehusishwa katika kesi zinazohusiana na ubadhirifu wa fedha za umma, zikiwemo zile za COVID-19 funds, fedha za TTC (Taita Taveta County), na kashfa nyingine kama ya Zanzibar Bonding Scandal. Aidha, taarifa zinaonesha kuwa amewahi kuwashtaki vijana waliokosoa utendakazi wa serikali ya kaunti.
Soma
VOI LAW COURTS FINES ROGERS NGOO KSH 12 MILLION AFTER A 5-YEAR WAIT
MY FIRM DIDN’ IDRIS OVER GOVERNOR SAMBOJA’S POOR PERFORMANCE SAYS ADVOCATE BWIRE
Wananchi wanahoji:
- Je, ni halali kwa Mbunge anayepaswa kusimamia rasilimali za umma, kuwatetea wale wanaoshukiwa kuzifisadi?
- Je, huu si mgongano wa moja kwa moja wa maslahi (conflict of interest)?
- Je, imani ya wananchi kwa uongozi wake itaendelea kuwepo huku akiwa upande wa watuhumiwa wa kuhujumu maendeleo yao?
Huu si tu mjadala wa kisheria, bali wa kimaadili na kisiasa. Iwapo kweli anajitolea kusaidia sekta mbali mbali au kufanya maendeleo Taveta, kwa nini asimame kidete dhidi ya wale wanaodhoofisha huduma hizo?
Soma
MCAS MULTIMILLION BONDING TRIP TO ZANZIBAR
THE RETURN OF THE LOOTERS: WHY IS GOVERNOR MWADIME RESURRECTING TAITA TAVETA’S DARK PAST?
Tunatoa wito kwa:
- Bunge la Kitaifa, kuchunguza mienendo ya viongozi wanaokinzana na maadili ya uongozi.
- EACC kufuatilia kwa kina kesi zinazomhusisha au kuhusisha watuhumiwa wanaotetewa naye.
- Wananchi wa Taveta kuhoji na kuwajibisha viongozi wao kwa njia za kisheria na za kiraia.
Uwajibikaji ni msingi wa maendeleo. Kukaa kimya ni kuunga mkono ufisadi.
Imetolewa na: KWAELA CIVIC FORUM
kwa niaba ya wananchi wanaotaka haki, uwazi, na maadili mema.
more recommended stories
TAITA TAVETA: KSh 9.86 MILLION IN SALARIES, TWO ALLEGED FORGED DEGREES — WHO VERIFIED THE QUALIFICATIONS?KNN INVESTIGATIVE EDITORIAL | PUBLIC.
GODOMA FINALLY GETS ITS TITLE DEEDS — A RIGHT LONG OVERDUEThe issuance of title deeds.
CHURU CHURU PROJECTS VS REAL DEVELOPMENTWhy Taita Taveta Must Stop.
CORRUPTION: THE SILENT TAX CRUSHING ORDINARY KENYANSA Nation Paying Twice for.
SUMMARY OF THE TAITA TAVETA COUNTY FY 2026 / 2027 BUDGET ESTIMATESThe County Government of Taita Taveta.
WHOEVER FEEDS YOU CONTROLS YOU: SANKARA’S WARNING AFRICA REFUSES TO HEAR“He who feeds you, controls you.”.
Universality and the Rise of a New African Political Consciousness: How Kenyan Gen Z is Reshaping African PoliticsAcross Africa, the concept of universality.
PARIS ON OUR PAIN: TAITA TAVETA MCAs STILL FEEDING WHILE THE COUNTY BLEEDSThey say the more things.
DRAIN THE SWAMP OR GO HOME: TAITA TAVETA DEMANDS ACCOUNTABILITYWhen Governor Andrew Mwadime—popularly known as.
Beyond Personalities: What Taita-Taveta Must Demand in 2027By Pastor Cassian Ngotho Mwachanya Taita-Taveta.
Mzima Phase II: A Promise Delayed, A Region ThirstyFor more than six decades, millions.
THE ACCOUNTABLE AND THE ACCUSED: MWAMBURI, MAGANGA, AND THE RECKONING AT TAITA TAVETA COUNTY ASSEMBLYBy Pastor Cassian Ngotho Mwachanya The.
HON. DORCAS MLUGHU: THE VOICE THAT REFUSED TO BOWThe court’s decision declaring the impeachment.
THE CLERK AT THE HEART OF COUNTY ASSEMBLY BUSINES: WHY ADMINISTRATIVE RESPONSIBILITY CANNOT BE ESCAPEDThe recent court decision in.
WHY KENYA WILL NOT BECOME THE “SINGAPORE OF AFRICA” ANYTIME SOONFor more than a decade,.
CORRUPTION — THE ENEMY IN THE ROOM: HOW IT IS STRANGLING DEVELOPMENT IN TAITA-TAVETA COUNTY (2025)Taita-Taveta is a county of.

Leave a Comment