NUKUU ZA MKUTANO WA SIRI WA WASAGHALA WA KUTAKA KUNYAKUA SHAMBA MGHENO ZAFICHUKA

 

Muktasari wa Habari

Kuna mgogoro wa mashamba unaendelea katika sehemu ya Mgheno – Mwatate. Inadaiwa kuwa bwana mmoja Paul Olang’o, anayefanya kazi katika shirika la Community Land Action Now (CLAN) anashirikiana na baadhi ya viongozi wa Taita Taveta kufanya uhalifu wa mashamba huko Mgheno.

Katika Community Land ya Mgheno, ( ingawa bado haijapata cheti miliki cha ardhi yao), kwa mfano, bwana huyu pamoja na viongozi kadhaa wa Kaunti ya #TaitaTaveta kutoka idara ya ardhi na wa bunge la Kaunti waliingia kwenye shamba hilo na kuweka beacons bila kuhusisha wana chama wala uma, kwa madai ya kufanya Land Demarcation ili wenyewe wapate #TitleDeeds. Kikosi hicho kiliongozwa na Bwana Okina, Mchombo wakiwa na mamlaka kutoka kwa madam DCC wa Mwatate, ambaye alikuja juzi tu, hata hajamaliza mwaka, ni kama alitumwa huku kuja kutuvuruga.

Swali ni je, kulingana na wao, wenye shamba ni akina nani ikiwa wanachama na wakaazi hawakuhusishwa?

Baadae kulipangwa njama ya kupindua kamati ya wanachama wa mgeno kisirisiri ila njama hizo ziligunduliwa na uchaguzi wao ukazimwa kortini. Kesi bado inaendelea. Baadhi ya waliopendekezwa kuingizwa katika kamati kisirisiri ni pamoja na Engineer Elija Mwandoe, aliyekuwa CECM – Public Works kwenye serikali ya kwanza ya kaunti hii.

Engineer Mwandoe na kikosi chake wanatoka sehemu ya Saghalla – VOI, na bado wanataka kumiliki ardhi Mwatate.

Katika harakati zao za kutaka kupindua uongozi wa Mgheno Commuinty Committee, wamekuwa wakifanya mikutano ya siri na tumeweza kupata nukuuu za moja kati ya mikutano yao.

Kwenye nukuu za mkutano huo, ambazo zimetajwa kama STRICTLY CONFIDENTIAL – NOT FOR PUBLIC CIRCULATION, waliohudhuria ni kama ifwatavyo:-

  1. Executive CLMC Members
    • Teri B: Simon Guyo, Eric Mbogho, Allan Gona & Priscilah Mwemba
    • Ndara B: Raphael Ngao & Joshua Mwadeghu
    • Mgheno Interim: Elijah Mwandoe, Alfred Mwadom & Gladis Juma.
  2. Sagala Boundary Committee Representatives
    • Mzee Mwakirungu Chongo & Daniel Mbole
  3. Other Leaders and Stakeholders
    • Benjamin Mwandaa (Former Chairman Ndara B), Jones Mwang’ondi, Bruno Mwachoo & John Mghalu.
  4. Key Suppoters
    • Dr Mwaeke – CECM Education, Taita Taveta county
    • Eng. Mwambi – MCA, Sagala Ward
    • Hon Azar Din – MCA, Kaloleni Ward.

Meeting Resolutions

  1. The sagala Community must be enjoined as an interested party before arbitration commences
  2. The petitioners ignore the fact that 80% of Mgeno Community Land falls within the Saghalla Native Reserves closely linked to Teri B & Ndara B.

Legal representatives Selected

  1. Martin Mwawasi
  2. A second to be nominated by Amb. Janet Oben Mwawasi (Chairperson of the Mission)
  3. A third to be nominated through Benjamin Mwandaa.

Wana Mgheno Community Land wanalilia haki ya ardhi yao.

more recommended stories