Licha za manispaa ya Taveta kuundwa na kuapishwa na Gavana Andrew Mwadime, hali ya uchafu yazidi kutanda kwa miji na vijiji kadhaa Taita Taveta County. Utepetevu huu wa Gavana Wakujaa na wafanyikazi wake umeonyesha wazi kuwa Gavana ameshindwa kutekeleza majukumu yake ya ugatuzi ipaswavyo. Hapani ni eneo la Njukini, gatuzi dogo la Taveta, ambapo kumekuwa na muozo na uvundo wa taka kwa muda sasa.
Hali hii imesababisha vijana, wakiongozwa na kiongozi wao wa vijana wa wodi ya chala, kujitolea kufanya usafi. George amekusanya vijana na kuwaomba wasaidiane kusafisha mazingara sababu serikali imeshindwa kutoa huduma hiyo.
Swali ni je, wakaazi na kina mama wa sokoni, hasa Taveta walimkosea Governor Wakujaa nini mpaka akaamua kuwatesa hivi?
Vijana wanajizolea taka wenyewe ilhali haya ni Majukumu ya serikali ya kaunti hasa manispaa husika.
Cha kusikitisha zaidi, Gavana Wakujaa, kupitia Supplementary Budget, inayofichwa kama mihadarati, ameondoa pesa za kujenga choo cha soko ya Njukini bila kuhusisha wakaazi.
Ni nani alimwambia hatuhitaji hicho choo?
Hela za kujenga hicho choo amezipeleka wapi?
George anapopanga shughuli ya kusafisha mazingara, anawaomba wakaazi wakitokeze kwa wingi wakiwa wamejiami na vifaa mbaliali, kama chepe, toroli, reki, gloves na vifaa vingine vya kusaidia katika shughuli hiyo ya kuzoa taka.
Mwisho
By Kwaela News Network (KNN) | Governance & Accountability The seven-day ultimatum issued to…
The days when political party waves and symbolism single-handedly determined election outcomes in Taita-Taveta…
The growing controversy surrounding the financial management of Taita Taveta County has taken another…
Perhaps one of the most ironic moments of Governor Andrew Mwadime's appearance before the…
Affected families in Mlambenyi, Golani and Mto Mwagodi face a February 2027 deadline as the…
During a Senate Public Finance Committee meeting, Taita Taveta Governor Andrew Mwadime, popularly known as…
Leave a Comment