Categories: Taita Taveta News

TTC COUNTY DEPARTMENT OF ENVIRONMENT WATER AND SANITATION

Kaunti ya Taita Taveta kupitia kwa idara ya Maji, Usafi na Mazingira pamoja na Kampuni ya usambazaji wa maji ya be hii leo imezindua mpango wa kusambaza matangi ya maji zaidi ya 73 ya lita 1000 sehemu mbali mbali Kaunti ihi ili kusaidia juhudi za kuzingatia usafi hasa wakati huu wa hatari ya maambukizi ya virusi vya korona.

Zoezi ambalo limeongozwa na naibu wa Gavana Majala Mlagui ni moja wapo ya mipango ya kuhakikisha maji yanasambazwa katika sehemu muhimu ili kuwezesha wananchi kuzingatia usafi na kujikinga na virusi vya korona.

Kaimu Waziri wa Maji, Usafi na Mazingira Davis Mwangoma amewarai wakaazi wa Kaunti ya Taita Taveta kuzingatia usafi kwa kuosha mikono kila wakati ili kujikinga na maambukizi ya virusi vya korona.

Waziri huyo ameseme kuwa matangi hayo yatawekwa maeneo ya Masoko pale Maungu, Voi, Wundanyi,mwatate na Taveta.

Maeneo mengine ambayo yanalengwa ni pamoja na sehemu ya kuegesha tuku tuku, boda boda na sehemu zengine ambazo wananchi watapata kuosha mikono pasi na kuwepo kwa changamoto zozote.

#MshapaDelivers

Ezekiel Mjomba

Leave a Comment
Share
Published by
Ezekiel Mjomba

Recent Posts

TAITA TAVETA: SEVEN DAYS HAVE ELAPSED — HAS SENATOR KAJWANG SENT WAKUJAA’S GOVERNMENT FILES TO EACC?

  By Kwaela News Network (KNN) | Governance & Accountability The seven-day ultimatum issued to…

17 hours ago

THE ERA OF POLITICAL EUPHORIA IN TAITA TAVETA COUNTY IS OVER

  The days when political party waves and symbolism single-handedly determined election outcomes in Taita-Taveta…

1 day ago

TAITA TAVETA: CAN THE DCI CRACK THE NUT? DORCAS MLGHU’S PUBLIC OUTBURST PUTS COUNTY EXECUTIVE UNDER FRESH PRESSURE

  The growing controversy surrounding the financial management of Taita Taveta County has taken another…

2 days ago

THE GOVERNOR DISCOVERS FISCAL DISCIPLINE — FOUR YEARS TOO LATE?

  Perhaps one of the most ironic moments of Governor Andrew Mwadime's appearance before the…

3 days ago

NDARA B LAND DISPUTE: 63 RESIDENTS SERVED WITH THREE-MONTH EVICTION NOTICE FOLLOWING COURT RULING

Affected families in Mlambenyi, Golani and Mto Mwagodi face a February 2027 deadline as the…

3 days ago

THE WRONG TIME: GOVERNOR WAKUJAA’S DEFENCE

During a Senate Public Finance Committee meeting, Taita Taveta Governor Andrew Mwadime, popularly known as…

5 days ago